Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
15 Reactions
69 Replies
769 Views
Hivi hawa simba hawayajui maadili ya Kitanganyika au kisirani tu? Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida! Video imewabamba simba dume watatu...
2 Reactions
12 Replies
120 Views
Rais wa JMT Dr Samia ametoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Rais wa Jamhuri ya Muungano...
1 Reactions
34 Replies
556 Views
Wanajamii naombeni mniambie tatizo la hii photocopy machine na namna ya kuirekebisha . Inatoa karatasi namna hii[emoji1370][emoji1370]
0 Reactions
5 Replies
71 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Hello Nimepita pita mitandaoni leo nkakutana na caption hapo chini, sasa najiuliza ni uchawi au ni nini, huyo sista na uzuri wote huo anakosa mwanaume mmoja tu wa kumuoa na kumuweka ndani, hadi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
40 Reactions
814 Replies
16K Views
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO.. Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World Health...
6 Reactions
46 Replies
721 Views
Mambooozzz Ktk pitapita zang humu jf nmegundua kuna unique sign za wana jf ,hata ukikutana nae live au ktk social network nyingine kama Instagram utamjua TU huyu ni jf member, kwangu ninazozjua...
2 Reactions
15 Replies
100 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
13 Reactions
34 Replies
256 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,452
Posts
49,486,304
Members
666,742
Latest member
Dume Jembe
Back
Top Bottom