Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
Nina miaka kadhaa ninatumia decoder ya startime husema burudani kwa wote lkn nimefuatilia naona ni burudani kwa wachina na wakorea sina ninacholifaidi
Sasa kwa mwenye uhitaji na hiyo king'amuzi...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
Habaria wanajamvi. Naamin wengi wetu ni wazima lakiin kwa wote wenyechangamoto asili ya dunia na iwape nafuu.
Huu ni uzi wa kutiana moyo, faraja na kupeana mawazo changa ili gurudumu la maisha...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo...
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu.
Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.