Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu...
3 Reactions
6 Replies
69 Views
Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”. Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa...
5 Reactions
48 Replies
768 Views
Kampuni ya usafirishaji Mabasi,New force imehusika kwenye ajari nyingi sana.Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila...
22 Reactions
193 Replies
34K Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia. Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa. Magufuli alikuwa...
13 Reactions
75 Replies
3K Views
Je, Guta zilizofungwa engine za pikipiki ni vyombo vya moto? Na je, ni kwanini hazisajili na kupewa namba za usajili?
1 Reactions
5 Replies
118 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
6 Reactions
41 Replies
625 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,275
Posts
49,195,769
Members
663,964
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom