Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano
Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani...
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
Kwa taarifa yenu tu akina dada, ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake ambao hawajatumika sana ktk migegedo. Japo ni ngumu kuwatambua lkn wengi wao wamekuwa wakiwapima kwa utundu wao...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha...
Benki ya Dunia imesema itapotia upya masharti ambayo yalikuwa yanawanyika wakandarasi wa ndani kupata fursa ya kazi na kupendelewa wageni kwenye miradi ya Fedha za Mkopo kutoka Benki hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.