Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi...
3 Reactions
16 Replies
334 Views
Habari zenu Wakuu, Kama utataka kuoa/kuolewa nakushauri usikubali kufunga ndoa na mtu anaenyonya sehemu za siri. Nitakupa sababu za kwanini usifanye hivyo, sababu zenyewe ni kama ifuatavyo, 1)...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
380K Replies
10M Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
9 Reactions
59 Replies
837 Views
MDOMO UNAUMBA, JINENEE MEMA. Miaka mitatu nyuma kulitokea kutokuelewana kati ya Jay Melody na Nandy ambapo Jay Melody alisikika akilalamika kuwa wakati Nandy hajawa msanii mkubwa Jay Melody ni...
5 Reactions
12 Replies
254 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo tarehe 28 Machi 2024 kimezungumza na waandishi wa Habari juu hali ya Usalama wa Mfanyakazi wake Wakili...
0 Reactions
2 Replies
38 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Wakuu samahani, Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao. Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
4 Reactions
31 Replies
452 Views
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa...
7 Reactions
89 Replies
1K Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
13 Reactions
26 Replies
359 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,327
Posts
49,197,697
Members
663,992
Latest member
Moeka Ludili
Back
Top Bottom