Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu. Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia. Sharing is caring.
3 Reactions
33 Replies
478 Views
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
1 Reactions
10 Replies
431 Views
A
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
6 Reactions
34 Replies
556 Views
Habaria wanajamvi. Naamin wengi wetu ni wazima lakiin kwa wote wenyechangamoto asili ya dunia na iwape nafuu. Huu ni uzi wa kutiana moyo, faraja na kupeana mawazo changa ili gurudumu la maisha...
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za...
4 Reactions
29 Replies
708 Views
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
10 Reactions
41 Replies
570 Views
Kikao cha dharura kwa watu wote wenye mwili Onyo: Video hii niya kuogofya hatutohusika na mfadhaiko utakao upata pindi utakapo angalia video hii. Ndugu zangu wanawake wamekuaje hakika, kama...
0 Reactions
6 Replies
27 Views
Eti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]
7 Reactions
39 Replies
360 Views
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu. Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila...
18 Reactions
76 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,801
Posts
49,429,870
Members
666,055
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom