Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
18 Reactions
87 Replies
3K Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
10 Reactions
78 Replies
1K Views
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa...
22 Reactions
52 Replies
2K Views
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu .... But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
2 Reactions
37 Replies
400 Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
21 Reactions
64 Replies
2K Views
Swalama ndugu zanguni? Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi? Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata. Sasa...
3 Reactions
14 Replies
576 Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
40 Reactions
455 Replies
24K Views
Leo imetimia miaka 3 Tangu Rais Samia aape kuwa Rais wa Tanzania. Kwa miaka hii 3 ,Nchi imepata mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi na kijamii Kwa mda mfupi kushinda wakati mwingine...
3 Reactions
20 Replies
72 Views
Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu...
23 Reactions
99 Replies
2K Views
MAKALA YA 5 Karibuni katika Makala yetu ya kila wiki, leo tunaangazia kwenye kukabiliana na Baridi kwenye jengo. Kwa wale wa Njombe, Ruvuma, Mbeya, Kagera, Arusha, Iringa, Singida, Kilimanjaro...
2 Reactions
6 Replies
239 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,684
Posts
49,111,230
Members
662,972
Latest member
Jerry huxkey
Back
Top Bottom