Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mjumbe hauwawi,picha Ina maelezo ya kutosha. https://www.instagram.com/p/C5z1T5JqvmU/?igsh=Y3hvbm8ybThxeTdx https://twitter.com/usembassytz/status/1779847499605283190?t=tXarsYdsYDeevJ0ZLm0OVA&s=19...
0 Reactions
7 Replies
49 Views
Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu...
0 Reactions
6 Replies
76 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
5 Reactions
42 Replies
964 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
#ETrending Follow @rickmedianews Usiku wa kuamkia leo Staa wa muziki @rayvanny amefanikiwa kushinda Tuzo 5 za #EAEA ( East Africa Arts Entertainment Awards) zilizofanyika nchini Kenya. Vipengele...
0 Reactions
8 Replies
188 Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
1 Reactions
34 Replies
443 Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
13 Reactions
252 Replies
5K Views
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa tusk force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
7 Reactions
34 Replies
951 Views
Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi….. Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran. Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi...
6 Reactions
146 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,837
Posts
49,398,667
Members
665,735
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom