Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Habarini wana JF, Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia? Nahitaji kunenepa.
10 Reactions
116 Replies
8K Views
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
14 Reactions
127 Replies
2K Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
15 Reactions
169 Replies
5K Views
Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene ‘Try...
29 Reactions
233 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba...
2 Reactions
18 Replies
173 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,454
Posts
49,418,419
Members
665,947
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom