Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
8 Reactions
62 Replies
426 Views
Ile kesi maarufu ya kuvuliwa uwakili bi Fatma karume aka shangazi na mwanasheria mkuu wa serekali ndugu feleshi aliyekata rufaa Basi leo amekubali yaishe kwa kuiondoaa rufaa yake mahakamani Sasa...
0 Reactions
5 Replies
117 Views
Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi. Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa...
2 Reactions
3 Replies
33 Views
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu...
4 Reactions
39 Replies
581 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
145 Replies
3K Views
The Weekend - Out of Time
16 Reactions
3K Replies
58K Views
Wakuu wasalaaaamu! Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya...
3 Reactions
10 Replies
378 Views
CAG anasema Kwa miaka 5 iliyopita zaidi ya Bilioni 190 zimeliwa na Wajanja Kupitia mikopo ya pesa za ndani za Asilimia 10 kutoka Halmashauri. Pesa hizo hazijulikani zilikoenda na pia...
1 Reactions
6 Replies
602 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,383
Posts
49,199,950
Members
663,998
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom