Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habarini,
Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Naomba msaada wa ile video fupi aliyoigizia mwanamke mmoja katika hawa local artists aki act kama mama ake jamaa ..sasa jamaa akiwa anampigia mamaake simu ..mama akaja juu sana bila hata kuitikia...
Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha
wakuu habari za muda huu,natumai mnaendeleo vizuri na poleni na majukumu ya siku nzima. Naombeni msaada mimi nimemaliza diploma ya clinical medicine(2023)so nimepata changamoto jinsi...
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.
Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.