Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

HILI WADAU LITAONGEZA USHAWISHI MKUBWA KWA TAIFA KILA NCHI ITACHAGUA TZ KUJA KUWEKA KAMBI BADALA YA KUKATAZA JEZI TUTENGENEZE ELA KUPITIA HILI,WIZARA IFANYE UBUNIFU TUMEONA MAMELOD WAMEKUA NA...
0 Reactions
5 Replies
36 Views
- Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Washabiki wa simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya al ahaly yaan wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao...
1 Reactions
3 Replies
60 Views
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase. Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
24 Reactions
190 Replies
9K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
0 Reactions
7 Replies
191 Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
8 Reactions
39 Replies
910 Views
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
13 Reactions
36 Replies
414 Views
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la...
5 Reactions
22 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,252
Posts
49,194,987
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom