Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake".
Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa.
Wajuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.