Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
7 Reactions
25 Replies
302 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
220 Replies
2K Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... Source; Aljazeera https://aje.io/akzdf6
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimemsikia Musukuma jinsi anavyojenga hoja kwa kuuliza maswali kuhusu kikokotoo,ni wazi inaonesha hawa wasomi wetu ni matapeli tapeli na hawana msaada wowote kwa jamii. Ile tunaita emotional...
3 Reactions
9 Replies
348 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana. my views kwa mzize 1. Mzize ni useless player in...
2 Reactions
27 Replies
339 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana kimesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo...
0 Reactions
7 Replies
106 Views
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
2 Reactions
9 Replies
138 Views
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika...
32 Reactions
277 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,689
Posts
49,425,988
Members
666,019
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom