Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
8 Reactions
246 Replies
6K Views
Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
2 Reactions
44 Replies
696 Views
Salaam, Shalom!! Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni? Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
9 Reactions
150 Replies
3K Views
Hii ni kwa Mujibu wa CAG "Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua...
1 Reactions
4 Replies
74 Views
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
12 Reactions
73 Replies
2K Views
Kama kuna mdau ana taarifa na picha juu ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa msalato dodoma, aweke hapa. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
4 Reactions
38 Replies
948 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,071
Posts
49,406,393
Members
665,832
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom