Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
11 Reactions
56 Replies
1K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Pre-amble: Naongelea Dunia kwa Ujumla na Sio Nchi / Taifa Ni kawaida kwenye Ubepari kutokea tatizo la overproduction; na hili likitokea wazalishaji wanapunguza uzalishaji jambo ambalo...
2 Reactions
14 Replies
290 Views
Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano...
9 Reactions
63 Replies
1K Views
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne...
4 Reactions
36 Replies
441 Views
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa...
1 Reactions
17 Replies
206 Views
Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms...
0 Reactions
13 Replies
265 Views
Ndiyo maana GENTAMYCINE nikaamua tu kubakia na hii hii Degree yangu Moja tu kutoka Chuo Kikuu cha Werevu tupu Tanzania cha Mtakatifu Augustino Mwanza ( SAUT Mwanza ) na wala sikutaka tena sijui...
7 Reactions
49 Replies
711 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,837
Posts
49,431,372
Members
666,079
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom