Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli, ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa...
18 Reactions
55 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
4 Reactions
9 Replies
180 Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
2 Reactions
44 Replies
940 Views
Msaada tafadhari picha inajieleza.
0 Reactions
9 Replies
314 Views
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 7: FUTARI KWA AZIZ ALI MTAA WA MBARUKU NA CONGO 1940s Aziz Ali alikuwa tajiri na akaupamba utajiri wake kwa ukarimu. Yeye alikuwa mjenzi wa majumba na alikuwa akimjengea...
2 Reactions
1 Replies
252 Views
Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu? Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even...
0 Reactions
6 Replies
156 Views
Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za...
11 Reactions
68 Replies
5K Views
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
14 Reactions
73 Replies
1K Views
Kiongozi wa Chama Cha ACT wazalendo na Wajumbe wa kamati kuu wamefika wilayani Rufiji na kutoa misaada mbalimbali kwa Wahanga wa mafuriko Mkuu wa Wilaya Meja Edward Gowelle amewashukuru sana na...
0 Reactions
5 Replies
181 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,040
Posts
49,472,707
Members
666,573
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom