Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja kwa moja. Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani? Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
5 Reactions
14 Replies
176 Views
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa...
3 Reactions
31 Replies
826 Views
Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
27 Reactions
96 Replies
2K Views
  • Poll
Great thinkers kama mnavyoona hapo, je chadema hiki chama mfu iwapo kikiamua kubeba u-Magufuli (Maguflication), je kinaweza kushinda uchaguzi kwa 57%
2 Reactions
11 Replies
40 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu.Kutokana na kuamua kuhamia Jijini DAR nimeonelea ni vema nikawashirikisha Wenyeji wangu (Wakazi wa Dsm) ili mnisaidie kujua ni sehemu gani sahihi ya kuishi kutokana na Changamoto...
2 Reactions
4 Replies
9 Views
Mambo, Katika pitapita zang humu jf nmegundua kuna unique sign za wana jf, hata ukikutana nae live au ktk social network nyingine kama Instagram utamjua TU huyu ni jf member, kwangu ninazozjua ni...
3 Reactions
28 Replies
262 Views
Ikiwa leo ni tarehe 2 November 2021 , kesi hii inayobeba sehemu kubwa ya habari za Tanzania inaendelea tena Mahakamani hapo . Baada ya ushahidi wa Muuza Mbege wa Rau Kukamilika , Leo upande wa...
49 Reactions
513 Replies
55K Views
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu? Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida! Video imewabamba simba dume...
4 Reactions
79 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,474
Posts
49,486,801
Members
666,762
Latest member
Tony brayer
Back
Top Bottom