Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana jf. Naimai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na waschana takribani matano mpk asaiv. Ila chakushangaza kila dem napokuwa kweny mahusiano nae...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani. Jamaa ana dola bilioni 3.2. Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5. P Didy ana dola milioni 800 Dr Dre ana dola...
5 Reactions
15 Replies
458 Views
Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
0 Reactions
5 Replies
72 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
13 Reactions
144 Replies
6K Views
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari. Kwa sasa Nipo...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Wakuu, Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 143. Hii BIlioni 143 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Kampuni ya usafirishaji Mabasi,New force imehusika kwenye ajari nyingi sana.Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha
0 Reactions
5 Replies
13 Views
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu...
6 Reactions
13 Replies
132 Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
8 Reactions
26 Replies
673 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,277
Posts
49,195,826
Members
663,965
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom