Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
20 Reactions
191 Replies
2K Views
Ndugu nawasalim kwa jina la yule alieumba mbingu, ardhi na vyote vilivyomo ndan yake. Ndugu zangu nakumbuka marehem babu yangu aliwahi kuniambia kwamba, kama mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania...
13 Reactions
50 Replies
4K Views
Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya, Sasa...
3 Reactions
35 Replies
241 Views
Here is a reason behind Sexual dreams can feel good because the brain releases neurotransmitters, such as dopamine and oxytocin, which create pleasurable sensations and feelings of intimacy and...
3 Reactions
65 Replies
1K Views
Kiongozi wa jeshi la Polisi ngazi ya mkoa anaitwa Kamanda wa Polisi mkoa (Regional Police commander). Huyu naambiwa mpaka ana mamlaka ya kufukuza kazi bàadhi ya Askari Mkoani kwake na asihojiwe...
2 Reactions
5 Replies
111 Views
Ukweli lazima usemwe Leo nilivyotoka nyumbani asubuh na gari yangu bugatti chiron kama kwa dp hapo ( sio manara) ipo chini sana hii gari bongo ipo yangu tu. Asabuhi kukiwa na mvua mvua hivi...
3 Reactions
4 Replies
45 Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu...
6 Reactions
60 Replies
716 Views
Ndiyo maana GENTAMYCINE nikaamua tu kubakia na hii hii Degree yangu Moja tu kutoka Chuo Kikuu cha Werevu tupu Tanzania cha Mtakatifu Augustino Mwanza ( SAUT Mwanza ) na wala sikutaka tena sijui...
10 Reactions
69 Replies
903 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,846,852
Posts
49,431,994
Members
666,096
Latest member
Nivan
Back
Top Bottom