Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga
Anatembea na Exodus 14:14
Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥
Kwenu Lucas na...
CAG anasema mkandarasi anaejenga bwawa la Nyerere amekataa kutekeleza Miradi ya CSR iliyopendekezwa na Tanesco Kwa kuwa haihusiani na mradi wa bwawa la Nyerere Moja kwa Moja hivyo inakiuka...
Haharini wana JF
Yapata siku ya 4 sasa katika jiji la dar hatujaliona jua likichomoza katika maeneo mbalimbali ya jiji na viunga vyake.!! Dar sasa ni kama Njombe,Iringa au Mbeya, kweli masika...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
FAHAMU MIFUMO YA ULINZI WA ANGA WANAYOTUMIA ISRAEL, NOMA SANA HII
1. Irone Dome
Huu ndio mfumo maarufu zaidi, unazuia makombora kutoka umbali wa kilomita 4 mpaka 70. Isingekuwa mfumo huu huenda...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.