Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania.
Kama...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri...
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu.
Yamewahi...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.