Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya...
Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??
Naona kama kwa sasa limeingia wimbi la kutangaza na kuuza Rooters za WIFI kwa makampuni ya simu nchini.
Kila mmoja anavutia kwake kwa vifurushi vya Mbps 10, 20 na 30 ambavyo ni kwa 4G na 5G...
Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane
Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na...
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
"Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama...
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar...
Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.