Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Hizi taarifa zinachanganya!
Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.
Tarehe 25...
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Amani iwe nanyi.
Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu.
Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo.
"Nafikri wewe kibabu Jemedari...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.