Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.
Courses ni masters ya leadership na education leadership.
Uingereza nimepata vyuo vinne.
Sweden chuo 1
Finland 1
Poland 1
Tatizo ni uwezo wa...
Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san
Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Wadau nawasalimu.Kutokana na kuamua kuhamia Jijini DAR nimeonelea ni vema nikawashirikisha Wenyeji wangu (Wakazi wa Dsm) ili mnisaidie kujua ni sehemu gani sahihi ya kuishi kutokana na Changamoto...
Mambo,
Katika pitapita zang humu jf nmegundua kuna unique sign za wana jf, hata ukikutana nae live au ktk social network nyingine kama Instagram utamjua TU huyu ni jf member, kwangu ninazozjua ni...
Ikiwa leo ni tarehe 2 November 2021 , kesi hii inayobeba sehemu kubwa ya habari za Tanzania inaendelea tena Mahakamani hapo .
Baada ya ushahidi wa Muuza Mbege wa Rau Kukamilika , Leo upande wa...
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?
Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!
Video imewabamba simba dume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.