Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
6 Reactions
16 Replies
313 Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
138 Replies
2K Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
5 Reactions
99 Replies
1K Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
6 Reactions
100 Replies
1K Views
Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ? Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
0 Reactions
24 Replies
25 Views
Niaje waungwana Huyu mhe Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia. Kila alipopelekwa alionesha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo COCO BEACH. Je,nawe utaenda wapi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
69 Reactions
3K Replies
232K Views
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
1 Reactions
15 Replies
413 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,568
Posts
49,205,669
Members
664,060
Latest member
Mwico_jnr
Back
Top Bottom