Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini...
2 Reactions
79 Replies
2K Views
Afisa Habari wa Yanga SC Ali Kamwe amesema mashabiki wa Simba SC wakijichanganya waisusie Kariakoo Derby Jumamosi hii na kuamua wasije uwanjani, basi wataigeuza siku hiyo kuwa kilele cha wiki ya...
0 Reactions
3 Replies
43 Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
9 Reactions
125 Replies
3K Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
2 Reactions
25 Replies
255 Views
Katika hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday mkazi wa kitongoji cha Misungwi kata ya Usagara wilaya Misungwi anatuhumiwa kubaka kuku hadi kufa. Chanzo: EastAfricaTV...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
17 Reactions
142 Replies
3K Views
Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo...
13 Reactions
99 Replies
1K Views
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea.. Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti. Inashangaza sana. Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo...
17 Reactions
94 Replies
2K Views
Madaktari pamoja na Clinical Officer Kenya wamefanya maandamano Kushinikiza Serkali kusikiliza Madai yao na Kuboresha Stahiki zao pia...
0 Reactions
2 Replies
21 Views
The Weekend - Out of Time
17 Reactions
3K Replies
62K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,922
Posts
49,400,909
Members
665,762
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom