Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Ama kweli Maendeleo hayana Chama.
4 Reactions
11 Replies
440 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
4 Reactions
38 Replies
463 Views
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
1 Reactions
4 Replies
13 Views
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
5 Reactions
19 Replies
190 Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
3 Reactions
18 Replies
328 Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchaowa nazo ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
2 Reactions
31 Replies
249 Views
Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
11 Reactions
38 Replies
894 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views

FORUM STATS

Threads
1,840,486
Posts
49,203,283
Members
664,031
Latest member
G 1
Back
Top Bottom