Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kama amechoka hivi? Anaweza hamia CCM au kurudi CHADEMA? Anavyyongea siku hizi ni kama hajachangamka kama zamani? Au anatumia sana pombe kali? Nini kimemtokea huyu jamaa?
0 Reactions
3 Replies
23 Views
Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono. Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio Haya...
12 Reactions
42 Replies
578 Views
Boby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda. Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira. hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja...
18 Reactions
192 Replies
5K Views
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala. Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
9 Reactions
33 Replies
233 Views
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza...
11 Reactions
69 Replies
3K Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
8 Reactions
204 Replies
4K Views
Kwa kweli mi utafiti wa kisayansi utakuja kunikuta baadaye tayari nishafikaga huko. Unajua mambo mengi tu yaliyopo kiasili, huwa tayari ndio ukweli sema tu unasubiria sayansi kuja kutoa maelezo...
0 Reactions
4 Replies
437 Views
Iran imeyashutumu vikali baadhi ya mataifa ya kiarabu kwa kushirikiana kwa siri na Israel. Baadhi ya mataifa yaliyotajwa ni Jordan, Saudi Arabia na UAE ambayo yanadaiwa kuruhusu anga zao na baadhi...
4 Reactions
4 Replies
115 Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi...
2 Reactions
9 Replies
28 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views

FORUM STATS

Threads
1,846,437
Posts
49,417,586
Members
665,948
Latest member
Elionweest21
Back
Top Bottom