Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Malawi imeilaumu Tanzania kwa...
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono.
Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti.
Askari walifika...
Bosses salute! Kumekuwa na katabia ka kishenzi mno kutoka kwa WaTZ wengi, eti wanaungana na wale Negros wa US kupiga vita na kukemea ubaguzi wa rangi. Kweli miTZ mingi ni mijinga mno.
Sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.