Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
10 Reactions
43 Replies
542 Views
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
20 Reactions
230 Replies
3K Views
Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china. Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara. Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa...
54 Reactions
95 Replies
5K Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
10 Reactions
286 Replies
7K Views
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
17 Reactions
105 Replies
2K Views
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?
0 Reactions
12 Replies
235 Views
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana...
2 Reactions
22 Replies
226 Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
15 Reactions
137 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,735
Posts
49,428,375
Members
666,049
Latest member
Simon silumbe
Back
Top Bottom