Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Habar zenu naomba mnisaidie maswali yanayoulizwa kwenye interview ya Taesa. Shukrani
3 Reactions
88 Replies
6K Views
Awali ya yote nitangulize pole kwa waliopata ajali, Mungu awawekee wepesi wapone haraka na kwa familia zilizowapoteza watu wao kipenzi, Mungu awalaze mahala pema. Humu pamekuwa ni sehemu ya...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko...
6 Reactions
26 Replies
304 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
11 Reactions
74 Replies
667 Views
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
5 Reactions
21 Replies
201 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
6 Reactions
95 Replies
1K Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
0 Reactions
16 Replies
208 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,491
Posts
49,203,627
Members
664,039
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom