Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo Ramadan Kareem 😂
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Wakuu, Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk. Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/...
12 Reactions
100 Replies
2K Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
4 Reactions
46 Replies
310 Views
Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba...
1 Reactions
8 Replies
21 Views
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma. Ndipo waziri wa uchukuzi prof...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia...
13 Reactions
249 Replies
10K Views
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho Tuko watu 3 na mizigo yetu Tunaitaji gari la kutupeleka Tu Mtu ambae Yuko interesting please nipm
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,671
Posts
49,110,705
Members
662,965
Latest member
Unju5
Back
Top Bottom