Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula...
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO
UTANGULIZI
Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata...
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hkuna tajiri mwingine mweny degree Wala diploma wengi wao Ni darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darsa la nne wako wengi...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya.
Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.