Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne...
3 Reactions
24 Replies
233 Views
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya...
8 Reactions
23 Replies
684 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Kwa mimi nahisi ningekuwa mchekeshaji ndio comedian, huwa najihisi kabisa hii kitu ingenifaa zaidi. Wewe je?
0 Reactions
4 Replies
26 Views
Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
4 Reactions
71 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
169 Reactions
9K Replies
1M Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
24 Reactions
89 Replies
1K Views
Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali. Hayo yameelezwa...
0 Reactions
2 Replies
17 Views
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya...
30 Reactions
245 Replies
19K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,821
Posts
49,430,868
Members
666,076
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom