Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu...
11 Reactions
128 Replies
3K Views
SERIKALI KUONGEZA BILIONI 4 KUKAMILISHA UPANUZI WA NJIA NNE BUKOBA MJINI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tayari Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wadau. Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata...
39 Reactions
287 Replies
11K Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo,tyipod na malaria mara...
0 Reactions
21 Replies
206 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
8 Reactions
116 Replies
4K Views
Utitiri wa nyumba za ibada katika makazi zinasababisha makelele na pia hutumika kuwezesha utakasishaji fedha na ugaidi.. Pia waziri Hamad Masauni asema taasisi na jumuiya ya kidini baadhi yao...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
14 Reactions
167 Replies
6K Views
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
2 Reactions
6 Replies
79 Views
Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
3 Reactions
10 Replies
151 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,292
Posts
49,196,251
Members
663,984
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom