Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
1 Reactions
34 Replies
467 Views
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
9 Reactions
106 Replies
4K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
2 Reactions
59 Replies
13K Views
Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni...
11 Reactions
57 Replies
999 Views
Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo...
7 Reactions
12 Replies
614 Views
History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
Wakuu samahani, Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao. Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,241
Posts
49,194,633
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom