Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?
Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!
Video imewabamba simba dume...
Habari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila...
Habari za uzima,
Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu
Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be...
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala.
Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.