Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
8K Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
17 Reactions
92 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye...
3 Reactions
18 Replies
313 Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
12 Reactions
139 Replies
2K Views
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
26 Reactions
85 Replies
2K Views
Km: 142,600km Engine: Cc600 Mwaka: 2002 Rangi: Silver No faults Price: 8,000,000
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hapo vip!! Awali ya yote nadeclare yakwamba ni lazima nitalipiza kisasi cha milele dhidi shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika yakwamba ninaposema hii vita kati ya...
5 Reactions
44 Replies
675 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,781
Posts
49,465,702
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom