Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki. Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho. kutoka Chalinze...
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5...
Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).
Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji...
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.