Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je unadhani hii itakuwa ni mwarobaini wa kero za usafiri wa Mwendokasi? My Take Naunga mkono hoja ila Mwekezaji awe mwenye uwezo isije kuwa kama zile treni za Wahindi za TRC ===== Waziri wa Nchi...
1 Reactions
5 Replies
168 Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
14 Reactions
167 Replies
3K Views
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni? Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
2 Reactions
63 Replies
1K Views
Habari ya saa hizi wana jamvi, poleni kwa mgao wa umeme[emoji3]. Niende moja kwa moja kwenye mada Katika pita pita kikiwa kikazi huko nyara nikawa nimekutana na mwanadada mmoja mrembo, kimoyo...
30 Reactions
190 Replies
13K Views
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho Tuko watu 3 na mizigo yetu Tunaitaji gari la kutupeleka Tu Mtu ambae Yuko interesting please nipm Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
1 Reactions
7 Replies
79 Views
Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027. Uwanja huo utagharimu...
2 Reactions
21 Replies
222 Views
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
3 Reactions
27 Replies
299 Views
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu .... But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
3 Reactions
44 Replies
565 Views
Kumekuwa na malalamiko kuhusu report zinazotolewa na mawaziri kutathimini miaka 3 ya Rais Samia. Data wanazo ziweka wengi wanaziona kama zimepikwa. Wanauliza kuna ubaya gani mkiweka tawimu...
3 Reactions
19 Replies
277 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,720
Posts
49,112,123
Members
662,979
Latest member
juma all
Back
Top Bottom