Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma.
Ndipo waziri wa uchukuzi prof...
Hivi ndivyo BBC wametoka mrejesho wa miaka 3 ya Rais Samia Madarakani wakielezea jinsi ameshindwa viunzi na kupata Matarajio kinyume Cha Wakosoaji ambao walitarajia atashindwa.
BBC wanasema Kwa...
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3...
Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala.
Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya...
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari...
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu
Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini , ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe...
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
Habari wakuu,
Niende kwenye mada yetu ya wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake.
Mbwa amekuwa mlinzi wa binadamu na imezoeleka hivyo, ila Sasa kumekuwa na wimbi la ufugaji wa Mbwa Fulani...
Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia,Mamlaka ya Anga imeanza Kuzalisha ndege zake za abiria yaani chartere plane Kwa kushirikiana na kampuni ya Schech ya Airplane Africa Limited ambapo Hadi Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.