Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
16 Reactions
83 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds...
1 Reactions
15 Replies
16 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
46 Reactions
165 Replies
6K Views
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona . Jambo la...
27 Reactions
106 Replies
4K Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
3 Reactions
29 Replies
234 Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
0 Reactions
32 Replies
238 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
123 Reactions
142K Replies
7M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,119
Posts
49,474,683
Members
666,596
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom