Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
Habari zenu Wakuu,
Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri...
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel...
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.
Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza...
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo.
Sasa...
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.