Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa.. Taarifa zaidi zitafata
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinaeleza ya kuwa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Paul Christian Makonda atazungumza na waandishi wa habari muda na wakati wowote ule...
10 Reactions
148 Replies
6K Views
Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu.. Asante
0 Reactions
16 Replies
35 Views
https://www.youtube.com/watch?v=N02pyt2gcXI
0 Reactions
2 Replies
20 Views
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
0 Reactions
25 Replies
35 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
10 Reactions
36 Replies
684 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
31 Reactions
264 Replies
13K Views
Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni...
0 Reactions
8 Replies
146 Views
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,843
Posts
49,467,520
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom