Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haya na Wengine mnaolitaka Jimbo la Kawe 2025 kuweni makini Dogo ameshaanza Kuingizwa Kundini kwani muda wote alikuwa anatamba kuwa iwe isiwe 2025 yeye ndiyo Mbunge wa Kawe na tayari ana kama...
4 Reactions
17 Replies
800 Views
Ni tetesi sio habari ya uhakika Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF...
0 Reactions
6 Replies
183 Views
Huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. Na atakayechafua aidha asafishe...
5 Reactions
18 Replies
251 Views
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
17 Reactions
82 Replies
3K Views
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
  • Sticky
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
69 Reactions
6K Replies
424K Views
Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na...
1 Reactions
3 Replies
122 Views
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana, wanaokaa huko na wanafanya kazi...
44 Reactions
164 Replies
9K Views
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
1 Reactions
39 Replies
324 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni
3 Reactions
10 Replies
109 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,154
Posts
49,476,216
Members
666,600
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom