Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
14 Reactions
417 Replies
7K Views
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach Je, nawe utaenda wapi?
4 Reactions
22 Replies
136 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
41 Reactions
227 Replies
4K Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
5 Reactions
82 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
0 Reactions
21 Replies
662 Views
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja...
5 Reactions
17 Replies
173 Views
Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
13 Reactions
44 Replies
1K Views
Yanga wameamua mashabiki waingie bure kule mzunguko ili uwanja ujae na kwa vile Rais wa CAF ni Rais wa Mamelod wakiwa na mkakati mkubwa kuwa ionekane kuwa wao wana mashabiki wengi kuliko Simba...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Kwamba eti ni kosa kwa mkristo ambaye hahusiki na Imani ya mtu mwingine aliyeamua kubadilisha muda wa kula. Eboo! Kumchapa viboko mtu mzima kwasabb za kidini ni ugaidi wa kidini. Ugaidi wa...
5 Reactions
12 Replies
121 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,588
Posts
49,206,463
Members
664,062
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom