Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika hali isiyokua ya kawaida mwananchi wa sengerema amejikuta mikononi mwa polisi kwa kitendo chake cha kuidai serikali huduma ya maji,hii imetokea baada ya kuwataja viongozi wa serikali hasa...
3 Reactions
19 Replies
488 Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
19 Reactions
274 Replies
4K Views
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
2 Reactions
54 Replies
523 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
11 Reactions
218 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
380K Replies
10M Views
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha! Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10000tsh Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia...
0 Reactions
0 Replies
7 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,699
Posts
49,209,514
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom