Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
12 Reactions
89 Replies
1K Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
2 Reactions
43 Replies
489 Views
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi? Tena wateja naona watakuwa ndugu...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira, Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara, Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira, Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata? Hukaa kimya...
6 Reactions
18 Replies
450 Views
Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network . Network ni namna...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Kamishina wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
4 Reactions
21 Replies
155 Views
Mnaotumia barabara ya morogoro, kibaha mlandizi au chalinze Mlandizi hali bado ni tete. Wenye mko na njia mbadala jiongezeni au subirini. Kama sio lazima sana kusafiri ebu subirini, manake malory...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya...
6 Reactions
25 Replies
872 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,334
Posts
49,198,042
Members
663,996
Latest member
Mr true
Back
Top Bottom