Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
25 Reactions
79 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
0 Reactions
60 Replies
683 Views
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
76 Reactions
917 Replies
70K Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
40 Reactions
192 Replies
6K Views
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike. Tukio hilo...
7 Reactions
75 Replies
2K Views
Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine. Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wadau, Nataka kununua hizi camera zenye muonekano wa bulb (taa) ili nizitumie kama CCTV kwaajili ya ulinzi nyumbani kwangu na eneo la biashara. Naombeni ushauri wadau kuhusu ubora,uimara...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
3 Reactions
10 Replies
343 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,215
Posts
49,478,640
Members
666,649
Latest member
Mo Said 83
Back
Top Bottom